Loading...

Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.

Loading...
Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.
link : Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.

soma pia


Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama marumru aina ya  Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kilichopo Chalinze mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Keda kinachotengeneza marumaru aina ya Twyford kilichopo Chalinze mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo, kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zaynab Kawawa na wapili kukhoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,Tony Zhifan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama marumru aina ya  Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kilichopo Chalinze mkoani Pwani.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi ya kutengeneza marumaru aina  ya Twyford wakati alipotembelea kiwanda cha Keda kiloichopo Chalinze Mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Wapili kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi , Evarest Ndikilo na watatu kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda, Tonny Zhifan.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua kiwanda cha Keda kinachotengeneza marumaru aina ya Twyford kilichopo Chalinze mkoani Pwani, Desemba 7, 2018.  Wapili  kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarest Ndikilo, Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zaynab Kawawa na wapili kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa kiwanda hicho,Tony Zhifan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Hivyo makala Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize.

yaani makala yote Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/waziri-mkuu-mhe-majaliwa-atembelea.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Waziri Mkuu Mhe. Majaliwa Atembelea Kiwanda Cha Marumaru Cha Keda Kilichopo Chalize."

Post a Comment

Loading...