Loading...
title : Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
link : Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Bibi Maimuna Tarish ambaye ndio mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali akizungumza na Viongozi wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo leo Jijini Dodoma mara baada kukagua eneo la Wizara hiyo ambapo ameridhishwa na hatua iliyofikiwa.Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Bw.Nicholaus William.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Bw.Nicholaus William (wa kwanza kushoto) akimsikiliza Mhandisi Hagai Mziray kutoka Kampuni ya Mzinga Cooperation ya mkoani Morogoro anayejenga Ofisi za Wizara hiyo wakati alipokagua eneo hilo ambalo limefanyiwa usafi tayari kwa kuanza ujenzi wa ofisi leo Jijini Dodoma.Weingine ni baadhi ya Viongozi wa Wizara hiyo.
Eneo linapojegwa ofisi za Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo katika mji wa Serikali Jijini Dodoma linavyoonekana baada ya kufanyiwa usafi.(Picha na Shamimu Nyaki –WHUSM)
Hivyo makala Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma.
yaani makala yote Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/12/wizara-ya-habari-utamaduni-sanaa-na.html
0 Response to "Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo yaanza maandalizi ya ujenzi wa ofisi Mji wa Serikali Ihumwa Jijini Dodoma."
Post a Comment