Loading...

Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria

Loading...
Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria
link : Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria

soma pia


Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria

Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani ambaye anawakilisha pia nchini Bulgaria , Mhe. Dkt. Abdallah Posi akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Bulgaria, Mhe. Rumen Radev. Hafla hiyo ilifanyika Ikulu ya nchi hiyo hivi karibuni. 
Mhe. Balozi Dkt. Posi akizungumza na Mhe. Rais Radev mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho 
Mhe. Balozi Dkt. Posi akiagana na Mhe. Rais Radev mara baada ya kuwasilisha hati za utambulisho 
Mhe. Balozi Dkt. Posi akiwa mbele ya gwaride la heshima alipowasili Ikulu ya Bulgaria kwa ajili ya kuwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa nchi hiyo. 


Hivyo makala Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria

yaani makala yote Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/balozi-possi-awasilisha-hati-za.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Balozi Possi awasilisha Hati za Utambulisho Bulgaria"

Post a Comment

Loading...