Loading...
title : BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA.
link : BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA.
BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA.
Spika wa bunge, Job Ndugai, amemshuhudia Bunge huyo laivu na kusema alipomuona alichanganyikiwa kidogo na kisha akawatoa hofu Wabunge kuwa kwa Dodoma kumuona ndege huyo mchana si tatizo isipokuwa ukimuona usiku ndio unaweza kuogopa.
Watumishi wa Bunge waliingia ndani ya jengo hilo kwa ajili ya ukaguzi na kumuona ndege huyo juu ya paa la ukumbi wa Bunge.
Ndege huyu hakutoka licha ya maofisa hao kutaka kumtoa, aliruka kutoka sehemu moja kwenda nyingine.
Hata hivyo, haikujulikana muda aliotoka na mahali alikoelekea lakini Spika Job Ndugai akasema ni mambo ya kawaida kwa Dodoma.
"Waheshimiwa wabunge, asubuhi tumeanza kumwona Bundi ndani ya jengo hili, lakini kwa Dodoma Bundi wa mchana hana madhara kwa hiyo ni mambo ya kawaida kabisa," amesema Ndugai.
Hivyo makala BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA.
yaani makala yote BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/bundi-aonekana-bungeni-na-kuzuia-hofu.html
0 Response to "BUNDI AONEKANA BUNGENI NA KUZUIA HOFU, SPIKA NDUGAI ALONGA."
Post a Comment