Loading...

Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ

Loading...
Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ
link : Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ

soma pia


Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ


 Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

  Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ)waliohudhuria katika Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Mkurugenzi mtendaji wa PBZ Juma Ameir Hafidh akitoa hotuba katika hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Katibu Mkuu Fedha na Mipango Khamis Mussa Omar akitoa hotuba na kumkaribisha mgeni rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
 Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk,Sira Ubwa Mamboya akisisitiza jambo alipotoa hotuba ya Ufunguzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk,Sira Ubwa Mamboya akibonyeza kitufe kuashiria Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki uliofanyika katika Makao makuu ya PBZ Mpirani Wilaya ya Mjini Unguja Ikiwa Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.


Hivyo makala Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ

yaani makala yote Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/hafla-ya-uzinduzi-wa-mfumo-mpya-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Hafla ya Uzinduzi wa Mfumo Mpya wa kutolea huduma za Kibenki wa PBZ"

Post a Comment

Loading...