Loading...
title : India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
link : India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar. Mhe. T.C.Barupal, akipandisha Bendera katiika Viwanja vya Ofisi Ndogo ya Ubalozi wa India Migombani Zanzibar,kuadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India, hafla hiyo imefanyika katika Ubalozi huo na kuhudhuriwa na Wananchi Wenye Asili ya India na Raia wa India waliopo Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. T.C.Barupal, akihutubia na kutoa salamu za Wananchi wa India wakati wa hafla hiyo ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhuri ya India, zilifanyika katika viwanja vya Ubalozi Migombani Zanzibar. na kuhudhuriwa na Wananchi wenye Asili ya India.
Wananchi wenye Asili ya India wakifuatilia hafla hiyo ya kuadhimisha sherehe za Miaka 70 ya Jamuhuri ya Watu wa India, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Wananchi wenye Asili ya India wakifuatilia hafla hiyo ya kuadhimisha sherehe za Miaka 70 ya Jamuhuri ya Watu wa India, zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar.Mhe T.C.Barupal, akisalimiana na Wananchi Wenye Asili ya India wanaoishi Zanzibar, baada ya hafla ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhri ya India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar
Balozi Mdogo wa India anayefanyia Kazi zake Zanzibar.Mhe T.C.Barupal, akisalimiana na Wananchi Wenye Asili ya India wanaoishi Zanzibar, baada ya hafla ya kuadhimisha Miaka 70 ya Jamuhri ya India zilizofanyika katika viwanja vya Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.(Picha na Haroub Hussein.)
Hivyo makala India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar.
yaani makala yote India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/india-yaadhimisha-miaka-70-ya-siku-ya.html
0 Response to "India Yaadhimisha Miaka 70 ya Siku ya Jamuhuri ya India Katika Ubalozi Mdogo wa India Migombani Zanzibar."
Post a Comment