Loading...
title : Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI
link : Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI
Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akipokea mashine ya Ultrasound kutoka kwa Daktari bingwa wa magonjwa ya watoto Antke Zuechner wa Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda (Germany Society for tropical pediatrics) ambayo itatumika kwa ajili ya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echo Cardiograph). Thamani ya mashine hiyo ambayo itatumika kwa watoto ni shilingi milioni 34.
Mhandisi wa vifaa tiba Evance Swai kutoka Pacific diagnostic akiwaonyesha madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sulende Kubhoja na Naiz Majani jinsi mashine ya Ultrasound ambayo imetolewa na Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda (Germany Society for tropical pediatrics) inavyofanya kazi. Mashine hiyo itatumika kwa ajili ya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echo Cardiograph) kwa watoto wenye matatizo ya moyo ni thamani yake ni shilingi milioni 34.
Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Sulende Kubhoja na Naiz Majani wakiangalia mashine ya Ultrasound ambayo imetolewa na Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda (Germany Society for tropical pediatrics) ambayo itatumika kwa ajili ya kipimo cha kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi (Echo Cardiograph) kwa watoto wenye matatizo ya moyo.Picha na JKCI
Hivyo makala Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI
yaani makala yote Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/jamii-ya-ujerumani-kwa-magonjwa-ya.html
0 Response to "Jamii ya Ujerumani kwa magonjwa ya watoto ya Ukanda yatoa mashine ya Ultrasound kuangalia jinsi moyo unavyofanya kazi kwa watoto JKCI"
Post a Comment