Loading...
title : TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO
link : TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO
TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii
Mwenyekiti wa Tume ya Maadili Jaji Steven Bwana amesema tume yake itashughulikia kesi Zaidi ya 100 zilizorundikana kwa muda wa miezi sita kuanzia sasa.
Akizungumza wakati wa kutoa neno la shukrani kwa mgeni rasmi Mwenyekiti amesema mara baada ya kupata nafasi ya kuaminiwa na Mh Rais Kuongoza tume hiyo wamegundua kuna mafaili mengi ayajafanyiwa kazi.
“Tumekuta kesi Zaidi ya 100 ambazo zimelimbikizwa kuanzia mwezi wa 2/2018, hivyo tunashukuru sisi kuwa wa kwanza kupata nafasi ya uteuzi katika mwaka huu wa 2019 hivyo tunahahidi kuchapa kazi kwa spidi ileile anayokwenda nayo Rais wetu, hivyo tunajipanga kufika mwezi wa sita tuwe tumemaliza kesi zote”alisema
Amesema kuwa wao kama viongozi wa tume wanajua kuna changamoto kubwa ya rasilimali fedha katika ofisi yao lakini watajitahidi kufanya kazi kwa bidi bila kusubiri posho hili kuweza kutatua kero za Watanzania ambao wamesubiri kwa muda mrefu.
“tunatambua Changamoto wanayokutana nayo watumishi wa Umma ambao wameleta malalamiko yao katika tume ya maadili na kuna wengine wanategmea ukumu ndio waanze kulipwa stahiki zao hivyo tunawaomba wawe wavumilivu ndani ya miezi hii sita kila kitu kitakuwa sawa”alisema.
Kwa upande wake Naibu WazirNaibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary M. Mwanjelwa, amesema watumishi wa tume wanapaswa kujituma na kufuata sharia bila kuangalia nafasi ya mtu.Dk. Mwanjelwa amewataka Watanzania kuwa na Imani na tume hiyo kwa sasa na itafnya maamuzi kwa kutenda haki
Naibu WazirNaibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary M. Mwanjelwa,akizungumza na Watumishi wa Tume ya Taifa ya Maadili
Naibu WazirNaibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary M. Mwanjelwa,akizungumza na Makamishna wa Tume ya Maadili walieteuliwa hivi karibuni
Wajumbe na Wafanyakazi wa tume ya Maadili wakimsikiliza Naibu WazirNaibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary M. Mwanjelwa.
Naibu WazirNaibu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Dkt. Mary M. Mwanjelwa,akiwa katika Picha ya Pamoja na Makamishna wa Tume ya Maadili. Picha na Zote na Humphrey Shao wa MMG
Hivyo makala TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO
yaani makala yote TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/tume-ya-maadili-kumaliza-kesi-zaidi-ya.html
0 Response to "TUME YA MAADILI KUMALIZA KESI ZAIDI YA MIA NDANI YA MIEZI MITANO"
Post a Comment