Loading...
title : KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS
link : KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS
KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akisoma Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi kwa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa,kulia Mwenyekiti wa Kamati Mhe. Panya Ali Abdallah, akifuatilia taarifa hiyo wakati ikiwasilishwa katika ukumbi mdogo Ofisi ya Rais Ikulu.
MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa Zanzibar. Mhe. Panya Ali Abdallah, akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi , wakati wa mkutano huo uliofanyika katika Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi ya Kusimamia Ofisi za Viongozi Wakuu wa Kitaifa Zanzibar, wakifuatilia Taarifa ya Utekelezaji wa Mpango Kazi wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, wakati ikiwasilishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa Haji Ussi Gavu.wakati akiwailisha taarifa hiyo kwa Kamati katika ukumbi wa Ofisi ya Rais Ikulu Zanzibar. (Picha na Ikulu)
Hivyo makala KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS
yaani makala yote KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kamati-ya-kudumu-ya-baraza-la_18.html
0 Response to "KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI YA KUSIMAMIA OFISI ZA VIONGOZI WAKUU WA KITAIFA YATEMBELEA OFISI YA RAIS"
Post a Comment