Loading...
title : Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa
link : Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa
Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa
Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maemdeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya akizungumza wakati alipokaribishwa ofisi ndogo za wizara mara baada ya kuapishwa leo Ikulu
Waziri wa Afya,Maendekeo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimsikiliza Katibu Mkuu mpya wa Wizara yake Dkt.Zainab Chaula
Dkt.Zainab Chaula akitoa salamu baada ya kukaribishwa Ofisi ndogo za Wizara hiyo,kushoto ni aliyekua Katibu Mkuu Dkt.Mpoki Ulisubisya
Aliyekua Katibu Mkuu-Idara Kuu Afya Dkt.Mpoki Ulisubisya akimkabidhi baadhi ya vitendea kazi Katibu Mkuu Mpya Dkt.Zainab Chaula kwenye ukumbi wa ofisi ndogo ya Wizara jihini Dar es Salaam
Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akimkaribisha Katibu Mkuu Mpya wa Idara Kuu Afya Dkt.Zainab Chaula kwenye ofisi ndogo za wizara zilizopo jijini Dar es Salaam mara baada ya kuapishwa
Naibu Waziri Dkt.Faustine Ndugulile akitoa neno la ukaribisho wa Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto-Idara Kuu Afya (hayupo pichani) |
Picha ya pamoja ya Viongozi wa Wizara na baadhi ya watumishi waliopo ofisi ndogo ya wizara hiyo
Picha zote na Wizara ya Afya
Hivyo makala Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa
yaani makala yote Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/katibu-mkuu-mpya-wa-wizara-ya-afya.html
0 Response to "Katibu Mkuu mpya wa Wizara ya Afya Dkt.Zainab Chaula aripoti kazini mara tu baada ya kuapishwa"
Post a Comment