Loading...
title : WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU
link : WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU
WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU
Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo akizungumza wakati alipo wa kuwakaribisha Katibu Mkuu na Naibu Katibu Mkuu walioapishwa leo Ikulu.
Naibu Katibu Mkuu TAMISEMI Dkt.Dorothy Gwajima akizungumza wakati alipokaribishwa ofisi ndogo za wizara mara baada ya kuapishwa leo Ikulu
Picha ya pamoja(Picha na Emmanuel Massaka wa MMG)
Waziri wa TAMISEMI, Seleman Jafo akizungumza amempokea Katibu na Naibu Katibu wapya katika wizara hiyo baada ya kuteuliwa na kuapishwa na Rais John Magufili leo, ambapo amewaasa kufanya kazi kwa weledi kwani wizara hiyo ni kubwa na ina mambo mengi.
Hivyo makala WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU
yaani makala yote WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/waziri-jafo-awapokea-katibu-mkuunaibu.html
0 Response to "WAZIRI JAFO AWAPOKEA KATIBU MKUU,NAIBU KATIBU MKUU MARA BAADA YA KUAPISHWA LEO IKULU"
Post a Comment