Loading...

KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA

Loading...
KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA
link : KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA

soma pia


KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA

Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani, Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, January Makamba wamefanya kikao kati yao na wataalam kutoka Taasisi mbalimbali nchini Tanzania walio katika Timu ya Kitaifa ya Majadiliano ya Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi kutoka Uganda hadi Tanzania.

Kikao hicho kinachofanyika Kampala – Uganda ni cha maandalizi kabla ya kufanyika kikao na Mawaziri wa Uganda wanaohusika na mradi huo baadaye leo.

Kikao cha Mawaziri wa Tanzania na Uganda wanaohusika na mradi huo kinafanyika kufuatia majadiliano ya wataalam wa nchi hizi mbili yaliyoanza tarehe 21/1/2019 na kufuatiwa na Kikao cha Makatibu Wakuu wa Wizara mbalimbali zinazosimamia mradi kutoka Tanzania na Uganda kilichofanyika tarehe 24/1/2019 Kutoka kushoto ni Januari Makamba Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, William Lukuvi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk.Merdad Kalemani Waziri wa Nishati, Profesa Paramagamba Kabudi Waziri wa Sheria na Katiba Mawaziri kutoka Jamhuri ya Muungano ya Tanzania wanaohudhuria kikao kuhusu maandalizi ya ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania kinaofanyika leo nchini Uganda.

Mawaziri kutoka Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na Jahuri ya Uganda wakiwa katika mkutano kuhusu maandalizi ya ujenzi wa mradi wa bomba la mafuta kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga nchini Tanzania unaofanyika leo nchini Uganda.
Baadhi ya wataalam wakiwa katika mkutano huo.
Makatibu wakuu wa wizara mbalimbali kutoka nchini Tanzania wakihudhuria mkutano huo.
Baadhi ya maofisa kutoka Tanzania wakihudhuria mkutano huo. 


Hivyo makala KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA

yaani makala yote KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kikao-cha-mawaziri-wa-tanzania-na.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KIKAO CHA MAWAZIRI WA TANZANIA NA UGANDA WANAOHUSIKA NA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI CHAFANYIKA KAMPALA"

Post a Comment

Loading...