Loading...
title : DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA
link : DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA
DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA
Mhe. Kigwangalla kifuatilia maelezo kutoka kwa mdau wa utalii wa Tanzania Bw. Denis Lebouteux alipotembelea banda la Tanzania wakati wa maonesho ya FITUR 2019.
Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii akiongea na wadau wa utalii wakampuni ya Tanganyika Expedition Bw. Oscar Gabaldon (Kushoto) na Denis Lebouteux (katikati) punde alipowasili katika banda la Tanzania.
Waziri Kigwangalla akiwa na wadau wa utalii wa Tanzania.
Wadau wa Utalii akiongea na wadau wa utalii punde alipowasili katika banda la Tanzania.
Na: Augustina Makoye
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Dkt. Hamis Kigwangalla ametembelea banda la Tanzania katika maonesho ya kimataifa ya Feria
Internacionale de Turismo (FITUR) yanayofanyika Madrid nchini Spain na kuzungumza na wadau wa utalii kutoka Tanzania wanaoshitiki maonesho hayo.
Waziri Kigwangalla amesema kuwa hii ni mara yake ya kwanza kuhudhuria maonesho ya Kimataifa ya utalii na amefurahi sana kukutana na kuongea na washiriki kutoka Tanzania na hivyo kupata uzoefu na kujifunza mambo mengi pamoja na changamoto zilizopo kwa Tanzania kushiriki maonesho ya Kimataifa.
Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) ndiyo inayoratibu ushiriki wa Tanzania katika maonesho haya ambapo jumla ya makampuni binafsi manne (4) ya watoa huduma za utalii yanashiriki pamoja na Taasisi mbili (2) za serikali ambazo TTB Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA).
Waziri Kigwangala yupo nchini Hispania kuhudhuria kongamano la kumi la uwekezaji katika sekta ya utalii na biashara linalofanyika katika eneo la Feria de Madrid yanapofanyika maonesho ya Fitur 2019.
Hivyo makala DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA
yaani makala yote DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/dkt-kingwangala-atembelea-maonesho-ya.html
0 Response to "DKT KINGWANGALA ATEMBELEA MAONESHO YA UTALII,HISPANIA"
Post a Comment