Loading...

KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA.

Loading...
KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA.
link : KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA.

soma pia


KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA.






Kocha Mkuu wa klabu ya Simba, Patrick Aussems amesema hajawajumuisha wachezaji wake wawili katika kikosi cha wachezaji 23 wanaojiandaa na michuano ya SportPesa.

Aussems amesema kuwa amemwacha mchezaji Yusuph Mlipili pamoja na Adam Salamba ili kuwapa nafasi wachezaji wawili waliokuja kwaajili ya majaribio, ambao atawatumia katika michuano hiyo ya SportPesa.

"Nilichokisema toka mwanzo ni kuwa katika michuano ya SportPesa tutaruhusu wachezaji watatu au wanne kwaajili ya majaribio na wapo hivi sasa katika kikosi chetu cha wachezaji 23", amesema Aussems.

"Katika kundi letu la wachezaji 23, tumewaacha wachezaji, Yusuph Mlipili pamoja na Adam Salamba", ameongeza kocha huyo.

Pia kocha huyo amesema kuwa timu yake inakabiliwa na michezo mingi hivi sasa na hakuna namna zaidi ya kupambana na kushinda, ambapo itacheza mchezo mmoja kila baada ya siku tatu.

"Tuna michezo 14 inatukabili, na baadhi ya klabu katika ligi zimeshacheza michezo 22 kwahiyo inamaanisha ni tofauti ya michezo 8, inaogopesha na inabidi TFF ifanye utaratibu wa kurekebisha ratiba yetu, utaratibu ufanyike tucheze mchezo mmoja kila baada ya siku tatu".

Simba inatarajia kushuka dimbani jioni ya leo katika mchezo wake wa kwanza wa michuano ya SportPesa, ambapo itavaana na AFC Leopards ya Kenya . Imesema kuwa itawatumia wachezaji wawili walio katika majaribio, ambao ni Lamine Moro kutoka Ghana (beki) na Hunlede Kissimbo Ayi-Abel kutoka Togo (mshambuliaji) na wakifanya vizuri watasajiliwa kwa ajili ya michuano ya kimataifa na Ligi Kuu Tanzania Bara.



Hivyo makala KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA.

yaani makala yote KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kocha-wa-simba-amtema-salama-michuano.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KOCHA WA SIMBA AMTEMA SALAMA MICHUANO YA SPORTPESA."

Post a Comment

Loading...