Loading...

MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA

Loading...
MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA
link : MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA

soma pia


MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA

Na Karama Kenyunko, globu ya jamii

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe anayekabiliwa na kesi ya jinai namba 112 ya mwaka huu na wenzake nane, leo Januari 17,2019 ameshindwa kufika katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuhudhuria kesi hiyo kwa kuwa anaumwa.

Wakili wa Serikali, Patrick Mwita ameeleza hayo, mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Wilbard Mashauri wakati kesi hiyo ilipokuja kwa ajili ya washtakiwa kusomewa maelezo ya awali (PH). 

Wakili Mwita amedai kesi hiyo leo,ilikuja kwa ajili ya kutajwa lakini wamepata taarifa kutoka Magereza kuwa mtuhumiwa ameshindwa kufika mahakamani kwa sababu anaumwa hivyo, ameiomba mahakama kuipangia tarehe nyingine kutokana na usikilizwaji wa rufaa ya dhamana ya washatakiwa Mbowe na Mbunge wa Tarime Mjini Ester Matiko kwenye Mahakama ya Rufaa.

Baada ya kusikiliza hoja hizo, Hakimu Mashauri ameahirisha kesi hiyo mpaka Januari 31 mwaka huu.Mbali na Mbowe na Matiko, washtakiwa wengine wanaokabiliwa na kesi hiyo ni Naibu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar Salum Mwalimu na Naibu Katibu Mkuu bara John Mnyika ambaye pia ni Mbunge wa Kibamba.

Wengine ni Mbunge wa Tarime Vijijini, John Heche, Mbunge wa Kawe Halima Mdee, Mbunge wa bunda, Esther Bulaya, Katibu Mkuu wa Chama hicho, Dk. Vincent Mashinji na Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa.

Washtakiwa hao kwa pamoja wanakabiliwa na mashtaka 13, ikiwemo kula njama, kufanya mkusanyiko wenye ghasia, kuhamasisha hisia za chuki, kushawishi hali ya kutoridhika, uchochezi na kushawishi utendaji wa kosa la jinai kati ya Februari 1 na 16, 2018, Dar es Salaam.




Hivyo makala MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA

yaani makala yote MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mahakama-yaambiwa-mbowe-ameshindwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAHAKAMA YAAMBIWA MBOWE AMESHINDWA KUFIKA MAHAKAMANI KWASABABU ANAUMWA"

Post a Comment

Loading...