Loading...
title : Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando
link : Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando
Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuachia huru Mkurugenzi Mkuu wa zamani wa TBC, Tido Mhando, baada ya upande wa mashtaka kushindwa kuthibitisha mashtaka dhidi yake.
Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi baada ya upande wa mashtaka kushindwa kudhibitisha mashtaka yake.
Tido alifikishwa Kisutu kwa mara ya kwanza Januari 26, 2018, kujibu mashtaka matano.
Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 7/2018, Tido alikabiliwa na mashtaka matano, mashtaka manne ni ya kutumia madaraka vibaya na moja la kuisababishia Serikali hasara ya Sh887.1 milioni.

Hivyo makala Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando
yaani makala yote Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mahakama-yamwachia-huru-tido-mhando.html
0 Response to "Mahakama Yamwachia Huru Tido Mhando"
Post a Comment