Loading...
title : MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA.
link : MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA.
MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA.
Muigizaji Mkongwe Salome Nonge (Mama Abduli) enzi za uhai wake.
TANZANIA DRAMA & FILM ACTORS ASSOCIATION (TDFAA)
TAARIFA KWA WAIGIZAJI(M) ( KINONDONI /UBUNGO)
Kamati ya Matukio Maadili na mikataba
Inawajulisha waigizaji wote .wadau wa filamu na wa Tanzania,Kuwa Muigizaji Mkongwe Salome Nonge (Mama Abduli).
Amefariki mchana huu nyumban kwakeMbrahati na msiba upo hapo taratibu za Mazishi tutawajulisha baada ya kikao
Asante.
Imetolewa Leo tar 25/Jan/2019
Masoud kaftany
Afisa Habari , Chama cha waigizaji TDFAA (M) Kinondoni / Ubungo
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi-AMEN
Hivyo makala MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA.
yaani makala yote MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/muigizaji-mkongwe-salome-nonge-mama.html
0 Response to "MUIGIZAJI MKONGWE SALOME NONGE ( MAMA ABDULI) AFARIKI DUNIA."
Post a Comment