Loading...

MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO

Loading...
MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO
link : MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO

soma pia


MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema Congo imeandika historia mpya kwa kukabidhiana madaraka kwa upendo na ana imani Viongozi wataendelea kufanya kazi kwa pamoja kwa ajili ya maendeleo na maslahi mapana ya nchi yao.

Makamu wa Rais ambaye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameyasema hayo mara baada ya sherehe za kumuapisha Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Tshisekedi.

“Linalofurahisha ni kwamba ni mara ya kwanza kwa nchi hii ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kufanya uchaguzi wa kidemokrasia na kukabidhiana madaraka kwa usalama kabisa” alisema Makamu wa Rais.

Uchaguzi huo uliofanyika Desemba 30, 2018, Mhe. Felix Tshisekedi alipata takribani kura milioni 7 sawa na asilimia 38.57 ya kura zilizopigwa ambapo wagombea wenzake kama Martin Fayulu alipata ailimia 34 sawa na kura milioni 6.4, Bw. Emmanuel Ramazani Shadary alipata asilimia 23 sawa na takribani kura milioni 4.4. 

Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeandika historia kwa mara ya kwanza tangu ilipopata uhuru kwa kukabidhiana madaraka kwa njia ya Amani.
Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Tshisekedi.
Rais mpya wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Felix Tshisekedi akiteta jambo na Rais wa zamani wa nchi hiyo Mh.Joseph Kabila.


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/makamu-wa-rais-amuwakilisha-rais-dkt.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AMUWAKILISHA RAIS DKT MAGUFULI SHEREHE ZA KUAPISHWA RAIS WA CONGO"

Post a Comment

Loading...