Loading...

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE

Loading...
WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE
link : WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE

soma pia


WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwaamewapongeza wakazi wa kata ya Nachingwea wilayani Ruangwa kwa kujenga shule ya msingi kwenye kijiji cha Kilimahewa. “Uamuzi wa kujenga shule ya msingi ni sahihi kwa kuwa huwapunguzia watoto kutembea umbali mrefu na pia utarahisisha mazingira ya kusomea kwa watoto wetu.” 

Waziri Mkuu ametoa pongezi hizo leo (Jumanne, Novemba 20, 2018) alipotembelea eneo la ujenzi wa shule ya msingi Lugalo na kuwataka waendelee na moyo huo. Amesema Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Magufuli inataka kila mtoto aliyefikia umri wa kwenda shule aanzishwe shule na asome. Kadhalika, Waziri Mkuu ametaka wananchi hao waweke pembeni itikadi zao za kisiasa na badala yake washirikiane kujenga miradi ya maendeleo kwenye eneo lao. 

Nae, Mtendaji wa Kijiji cha Kilimahewa, Majuto Ungulu amesema ujenzi wa shule hiyo uliibuliwa na wakazi wa kijiji hicho, ambacho hakina shule ya msingi. Majuto amesema watoto wa kijiji hicho wanalazimika kutembea umbali wa kilomita mbili hadi shule la msingi Ruangwa, hivyo ujenzi huo utawawezesha kusoma karibu. Amesema kwa sasa wameanzia na ujenzi wa vyumba vinane vya madarasa, matundu 18 ya vyoo na ofisi mbili za walimu ambapo jumla yake ni sh. milioni 399.8. 


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, Novemba 20, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Hashim Ngandirwa.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Kituo cha Polisi cha Wilaya ya Ruangwa, Novemba 20, 2018.

Baadhi ya wanawake waliojitokeza kushiriki katika ujenzi wa Shule ya Msingi katika kijiji cha Kilimahewa wilayani Ruangwa wakimshangilia Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipowasili kwenye eneo la ujenzi wa shule hiyo kukagua ujenzi na kushiriki katika ujenzi huo, Novemba 20, 2010

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Shule ya Msingi ya kwenye kijiji cha Kilimahewa unaofanywa na wananchi wa Kata ya Nachingwea wilayani Ruangwa, Novemba 20, 2018. 



Hivyo makala WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE

yaani makala yote WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/11/waziri-mkuu-awapongeza-wananchi-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MKUU AWAPONGEZA WANANCHI KWA UJENZI WA SHULE"

Post a Comment

Loading...