Loading...

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro.

Loading...
Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro.
link : Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro.

soma pia


Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro.

Katibu wa Makamu wa Rais Bw. Juma S. Mkomi akipokea Vifaa Tiba vya kujifungulia wakina mama kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Mashariki Bi. Aikansia Muro ikiwa sehemu ya Benki hiyo kuunga mkono juhudi za Makamu wa Rais katika kuboresha huduma ya afya ya Mama na Mtoto leo katika hospitali ya rufaa ya Morogoro ambapo Makamu wa Rais alitoa zawadi kwa watoto 36 waliozaliwa tarehe 27, Januari kama kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)










Na.Adam Mzee.OMR.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo Januari 27 kwa kushirikiana na Benki ya NMB, wametoa Vifaa Tiba vya kujifungulia katika wodi ya Mama na Mtoto, pamoja na vifaa tiba hivyo aliwazawadia  watoto 36 waliozaliwa siku ya  katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Morogoro .
Makamu wa Rais aliwakilishwa na Katibu wake Bw. Juma S. Mkomi ambaye amesema kuwa Makamu wa Rais amekuwa mstari wa mbele katika kuhakikisha huduma ya afya ya mama na mtoto inaboreshwa.
“Suala la kuboresha huduma ya mama na mtoto limeelezewa kwenye ilani ya uchaguzi ya CCM ya mwaka 2015-2020 lakini Makamu wa Rais kwa upekee amelipa kipaumbele kwa sabau ni moja kati ya ahadi zake kuu wakati kampeni” alisema Katibu huyo wa Makamu wa Rais.
Akizungumza wakati wa hafla hiyo Mganga Mfawidhi wa hospitali hiyo Dkt. Rita Lyamuya amemshukuru Makamu wa Rais kwa kuwakumbuka watoto waliozaliwa hospitalini hapo ambapo alisema kuwa watoto 36 wamezaliwa katika siku ya leo na kwa kipindi cha robo mwaka watoto  1779 walizaliwa  kati ya hao waliozaliwa kwa upasuaji ni 586.
Aidha, Meneja wa Benki ya NMB Kanda ya Mashariki Aikansia Muro amesema Benki ya NMB inaunga mkono jitihada za Serikali ya awamu ya tano katika kuboresha huduma zote za kijamii hususani sula zima la  afya na elimu na wataendelea kushirikiana na Serikali katika kuboresha huduma za kijamii ambapo leo wamemuunga mkono Mhe. Makamu wa Rais kwa kutoa Vitanda vinne vya kujifungulia, Vifaa vya kumsaidia mama kujifungulia (delivery kit) 8, pamoja na vifaa vingine ambavyo kwa ujumla vinagharimu shilingi milioni 5.
Kwa Upande mwingine Katibu Tawala wa mkoa wa Morogoro Bw. Clifford Tandariameishukuru Serikali kwa kutenga shilingi bilioni 8.5 kwa ajili ya ujenzi wa hospitali 3 na vituo vya afya 11 katika mkoa wa Morogoro.


Hivyo makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro.

yaani makala yote Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/makamu-wa-rais-wa-jamuhuri-ya-muungano_27.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Asherehekea Aadhimisha Siku ya Kuzaliwa na Kuzaliwa Watoto Waliozaliwa leo Hospital ya Rufaa ya Morogoro."

Post a Comment

Loading...