Loading...

WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO

Loading...
WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO
link : WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO

soma pia


WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO



Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu kushoto akisalimiana na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo katikati ni Katibu wa CCM wilaya ya Muheza Moyo

Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo kushoto akiingia shuleni hapo kwa ajili ya kushiriki ujenzi wa bweni la w katika shule ya msingi mbaramo yenye watoto wenye mahitaji maalum.

Mbunge wa Jimbo la Muheza (CCM) Balozi Adadi Rajabu akishiriki ujenzi huo

msingi ukiwa umechimbwa
sehemu ya wanafunzi wa shule hiyo wakimsikiliza Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo


WAZAZI na walezi wilayani Muheza wametakiwa kusimamia nidhamu za watoto wao ili kuepukana na suala la mmomonyoko wa maadili ambalo lina wakabili baadhi ya watoto hapa nchini.

Wito huo ulitolewa hivi karibuni na Naibu Katibu Mkuu wa UWT Taifa Jesca Mbogo ametoa kauli hiyo wakati wa ziara yake wilayani humo ambapo pamoja na mambo mengine ametembelea eneo la ujenzi wa mabweni katika shule ya msingi mbaramo yenye watoto wenye mahitaji maalum.

Alisema iwapo wazazi watawajibika ipasavyo kuhakikisha wanasimamia maadili hayo watawasaidia vijana wao kuweza kuepukana na tabia ambazo sio nzuri ambazo wanaweza kuzipata kutokana na makundi mengine. Hata hivyo pia alisema serikali ya Awamu ya Tano inafanya jitihada kubwa ya kuboresha miundo mbinu ya watoto kujisomea hivyo wazazi wanapaswa kusimamia suala zima la nidham kwa wototo wao .

Kwa Mkuu wa wilaya ya Muheza Mwanaasha Tumbo amesema kuwa kupitia kampeni ustawi wao ni wajibu watajenga madarasa na mabweni kwa ajili ya watoto walemavu ambayo wameshaanza kuitekeleza katika shule ya msingi mbaramo. Katika kuunga mkono jitihada hizo mbunge wa Jimbo la Muheza Balozi Adadi Rajab pamoja na mambo mengine ameahidi kutoa mifuko Saruji ili kuhakikisha mabweni hayo yanakamilika kwa wakati ili kutoa fursa kwa wanafunzi kusoma bila kuwepo kwa vikwazo


Hivyo makala WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO

yaani makala yote WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/wazazi-na-walezi-wilayani-muheza.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZAZI NA WALEZI WILAYANI MUHEZA WATAKIWA KUSIMAMIA MAADILI YA WATOTO WAO"

Post a Comment

Loading...