Loading...

Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Loading...
Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
link : Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

soma pia


Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Abdalla Juma Sadala (Mabodi) , akishiki kuimba Wimbo maalumu wa Mapinduzi wa "Sisi  sote tumegomboka" pamoja na WanaCCM mbali mbali huko katika ukumbi wa Skuli ya Moh'd Juma Pinduwa -Mkoani Pemba , baada ya kuzinduwa matembezi ya Vijana wa CCM (UVCCM), Tanzania ikiwa ni miongoni mwa shamra Shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar.
Baadhi ya Vijana wa UVCCM Tanzania , wanaoshiriki matembezi maalumu ya kuunga mkono sherehe za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, wakiwa na bango lenye ujumbe mahsusi kwa ajili ya kuunga mkono matembezi hayo.

Baadhi ya Vijana wa CCM Tanzania, wanaoshiriki katika matemdezi maalumu ya kuunga mkono Shamra shamra za miaka 55 ya Mapinduzi Zanzibar, wakimskiliza kwa makini Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar,Abdalla Juma Sadala (Mabodi) huko Kisiwani Pemba.
Picha na Bakari Mussa - Pemba.


Hivyo makala Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

yaani makala yote Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/matembezi-ya-vijana-wa-ccm-tanzania.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Matembezi ya Vijana wa CCM Tanzania Shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar."

Post a Comment

Loading...