Loading...
title : MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB
link : MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB
MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB
Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB, Charles Singili wakati wa mazungumzo yao yaliyofanyika leo jijini Dar es salaam. Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege.
Mwenyekiti wa Umoja wa Mabenki Tanzania na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela akiwa katika mazungumzo na wajumbe wa Umoja huo, Charles Singili (Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya TIB) na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya TIB Corporate, Frank Nyabundege (kulia) walipomtembelea ofisini kwake leo Januari 10, 2019.
Kikao kikiendelea.
Hivyo makala MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB
yaani makala yote MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mwenyekiti-wa-umoja-wa-mabenki-nchini.html
0 Response to "MWENYEKITI WA UMOJA WA MABENKI NCHINI NA MKURUGENZI MTENDAJI WA BENKI YA CRDB AKUTANA NA WAKURUGENZI WA BENKI ZA TIB"
Post a Comment