Loading...

Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'.

Loading...
Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'.
link : Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'.

soma pia


Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'.

Mbunge Jimbo la Nyamaganamkoani Mwanza, Stanslaus Mabula (CCM) ameendelea na ziara ya kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo katika Jimbo hilo ikiwemo elimu, afya, maji na barabara kusaidia ukamilishaji wa miradi hiyo kupitia fedha za mfuko wa jimbo.Na George Binagi-GB Pazzo, BMG
Ziara ya mbunge Stanslaus Mabula pia ilifika katika Shule ya Msingi Amani Kata ya Butimba na kujionea hali tete ya vyoo na kuchangia ukarabati wake.
Mbunge Stanslaus Mabula alifika katika Shule ya Msingi Amani iliyopo Kata ya Butimba na kutoa fedha kwa ajili ya kukamilisha jengo hili kwa ajili ya kupunguza uhaba wa vyumba vya madarasa.
Mbunge Stanslaus Mabula pia aliwasili katika Shule ya Msingi Igoma C na kusaidia ukarabati wa shule hiyo.
Ukarabati ukiendelea katika Shule ya Msingi Igoma C Jijini Mwanza.



Hivyo makala Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'.

yaani makala yote Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mbunge-nyamagana-akagua-miradi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mbunge Nyamagana akagua miradi mbalimbali ya maendeleo 'vyoo vinatisha'."

Post a Comment

Loading...