Loading...
title : MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
link : MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imetakiwa kuliomba radhi bunge la Jamhuri la Muungano wa Tanzania kutokana na kauli aliyotoka kuwa bunge hilo kuwa ni dhaifu.
Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam Mchungaji wa Mitume, Manabii na Maaskofu Tanzania Commando Mashimo, amesema kuwa nauli ya CAG sio rafiki kwa serikali.
Mchungaji Mashimo amesema kuwa ni vyema busara itumike ili kuhakikisha amani inapatikana kwa kuomba radhi.
"Ni vizuri busara ikatumika katika kutatua suala la CAG jambo ambalo litasaidia taifa kuendelea kuwa na amani" amesema Mchungaji Mashimo.
Hata hivyo amewataka viongozi kutumia madaraka vizuri katika utekelezaji wa majukumu yao.
Hata hivyo hivi karibuni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai alisema kwamba CAG siyo muhimili kama jinsi ambavyo anakuzwa na baadhi ya watu na badala wake yeye ni Ofisa anayefanya kazi za kuchunguza kazi ambazo zilitakiwa zifanywe na wabunge.
Ndugai alisema kuwa suala la maadili haliangalii kuhusu cheo hata akiwa yeye mwenyewe haruhusiwi kuizungumza vibaya nchi yake akiwa nchi nyingine kwani maadili hayaruhusu.
"Hata awe nani? msichanganye vitu, hii haina exception, ndiyo maana wanaoapishwa na Rais lazima wasome kiapo cha maadili. Ni maadili unatoka nje ya nyumba alafu unaanza kwamba ooh mke wangu mimi.....kuna madili hapo?. Ni maadili atakuja tu na litaisha" alisesema Ndugai na kuongeza;
“Kuna rafiki yengu mmoja yupo Uganda , kule Uganda CAG ni Ofisa wa Bunge,na Ofisa wa Bunge anaweza kumgomea Spika? Mihimili iko mitatu na niwahakikishie CAG hiyo tarehe 21 atakuja tu.

Hivyo makala MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG.
yaani makala yote MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mchungaji-mashimo-azungumzia-sakata-la.html
0 Response to "MCHUNGAJI MASHIMO AZUNGUMZIA SAKATA LA CAG."
Post a Comment