Loading...

Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete

Loading...
Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete
link : Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete

soma pia


Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete

 WANANCHI mbali mbali wakiwa katika bandari ya Wete wakisubiri ujio wa meli mpya sea star 1. (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alizungumza na viongozi na wananchi waliofika katika bandari ya Wete kwa ajili ya kupokea meli ya Sea Star inayomilikiwa na kampuni ya Sea Feries.
(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)

 MELI ya Sea Star ikiwa karibu na gati ya Wete,ikitokea katika bandari ya Zanzibar, (PICHA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MELI ya Sea Star inayomilikiwa na kampuni ya Sea Feries tayari ikiwa imetia nanga katika bandari ya Wete,Pemba (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akiwa pamoja na viongozi na wananchi wa Mkoa huo kushuhudia kutia nanga kwa meli ya Sea Star huko katika bandari ya Wete. (PICHA NA SAID BDULRAHMAN PEMBA)
 MMILIKI wa kampuni ya Sea Feries ‘Turki’ akizungumza na viongozi mbali mbali na wananchi waliofika bandarini Wete kupokea meli ya kampuni hiyo,(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman akizingumza na wananchi mbali mbali wa Mkoa huo baada ya meli ya kampuni ya Sea Feries Sea Star 1 kufunga gati huko Wete.(PICHA NA SAID ABDULRAHMAN PEMBA)
 MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Omar Khamis Othman, akiwa na wananchi mbali mbali katika dua ya pamoja kuiombea meli ya Sea Star 1 baada ya kuwasilikutoka Unguja katika bandari ya Wete, ambapo meli hiyo ilifunga gati (PICHA NA SAID ABDULRAHMAN  PEMBA)



Hivyo makala Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete

yaani makala yote Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/meli-ya-sea-star-yawasili-bandari-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Meli ya Sea Star yawasili Bandari ya Wete"

Post a Comment

Loading...