Loading...

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete.

Loading...
Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete.
link : Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete.

soma pia


Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete.

Waziri wa Wizara ya Kazi Uwezeshaji Wazee Wanawake na Watoto Zanzibar Maudline Castico, akisalimiana na wachezaji wa Timu ya Chake Chake ya Mpira wa Wavu, ikiwa ni shamra shamra za Miaka 55 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Wete kuibuka na ushindi wa seti 3-2 dhidi ya Chake Chake
MCHEZAJI wa timu Wete Kushoto na Mchezaji wa Timu ya Chake Chake kulia wa mpira wa wavu, wakiruka juu kunyanganyiana mpira wakati wa mchezo maalumu wa mpira wa wavu, kuadhimisha miaka 55 ya Mapinduzi ya Matukufu ya Zanzibar, wete kuibuka na ushindi wa seti 3-2 dhidi ya Chake Chake
KIKUNDI cha ngoma ya Kituwa kutoka unguja kikitoa burudani ya ngoma ya utamaduni, wakati wa mchezo wa mpira wa wavu katika uwanja wa Tenisi Chake Chake.(PICHA NA ABDI SULEIMAN,PEMBA)


Hivyo makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete.

yaani makala yote Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/michuano-ya-kombe-la-mapinduzi-kisiwani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Michuano ya Kombe la Mapinduzi Kisiwani Pemba Kati ya Timu ya Chakechake na Wete."

Post a Comment

Loading...