Loading...
title : RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300
link : RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300
RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda
Na Leandra Gabriel, Blogu ya jamii
MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda amewaalika Wananchi Wapenda maendeleo kuungana na Rais Dkt. John Magufuli kwenye mapokezi ya Ndege ya Sita ya Serikali aina ya Airbus A220-300 itakayowasili Nchini Kesho January 11 Saa sita Mchana ikitokea Nchini Canada.
Hafla ya mapokezi ya ndege hiyo itafanyika kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwl. Julius Nyerere jijini Dar es salaam.
Makonda amesema kuwa anatumaini wananchi wengi watajitokeza katika kuunga mkono jitihada za Mh. Rais ambaye amekuwa mstari wa mbele katika kuleta maendeleo.
Rais Magufuli aliahidi na sasa anatekeleza.
Hivyo makala RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300
yaani makala yote RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rc-makonda-awaalika-wananchi-kuungana.html
0 Response to "RC MAKONDA AWAALIKA WANANCHI KUUNGANA NA RAIS MAGUFULI KUPOKEA NDEGE YA SITA YA SERIKALI AIRBUS A220-300"
Post a Comment