Loading...
title : MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU
link : MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU
MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU
MKUU wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Mofuga amezindua ugawaji wa vitambulisho vya wafanyabiashara wadogo kwa kwa kuwataka watumishi wanaosimamia zoezi hilo kutowapa usajili wafanyabiashara wakubwa.
Wafanyabiashara wadogo 5,000 wanatarajia kupata vitambulisho hivyo wilayani Mbulu ambapo kwa kuanzia wamegawa vitambulisho 1,008 kati ya 2,500 vinavyotolewa kwa awamu ya kwanza.
Mkuu wa wilaya ya hiyo, Chelestino Mofuga aliyasema hayo wakati akizindua zoezi la ugawaji vitambulisho kwa wafanyabiashara wadogo wa Mbulu mjini, Haydom na Dongobesh. Mofuga aliwaagiza mkurugenzi wa mji wa Mbulu, Anna Mbogo na mkurugenzi wa halmashauri hiyo, Hudson Kamoga kuhakikisha zoezi hilo linawanufaisha wahusika pekee.
Alisema zoezi hilo linapaswa kufanyika kwa umakini mno ili kuepuka kuwasajili wafanyabiashara wakubwa jambo linaloweza kushusha mapato ya serikali. "Msikiuke maagizo ya Rais John Magufuli aliyotoa wakati anakabidhi vitambulisho hivi aliagiza viwanufaishe wafanyabiashara ambao mauzo yao hayazidi sh4 milioni kwa mwaka," alisema Mofuga.

Mkuu wa Wilaya ya Mbulu Mkoani Manyara, Chelestino Simbalimile Mofuga akipeana mkono baada ya kumkabidhi kitambulisho mfanyabiashara wa mji mdogo wa Haydom, James Boay.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA>>>>>
Hivyo makala MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU
yaani makala yote MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/mofuga-azindua-ugawaji-vitambulisho.html
0 Response to "MOFUGA AZINDUA UGAWAJI VITAMBULISHO MBULU"
Post a Comment