Loading...

AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA

Loading...
AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA
link : AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA

soma pia


AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA

Mkuu wa Wilaya ya Chemba Mh.Simon Odunga amemkabidhi John James zawadi ya baskeli aliyopewa na Mkurugenzi wa Bodi ya Pamba Tanzania Ndg.Marco Mtunga ,kwa moyo wake wa kujitolea kwa ajili ya uhamasishaji wa kilimo cha pamba katika kila kijiji wilayani Chemba. 

Mhe.Simon Odunga amekabidhi zawadi hiyo ofisini kwake tarehe 4/1/2019 akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Chemba , Katibu Tawala na Wataalam wengine wa Halmashauri ya Chemba. 

Mhe. Odunga amesema” kilimo cha pamba kwa Wilaya ya Chemba wamefanya ndiyo pilot kwa kuanzia Gwandi na ameomba kama inawezekana ndugu James kukopeshwa pikipiki kwa kuwa ndiyo chombo cha pili cha haraka, ni vyema kumkopesha kama mnavyofanya pembejeo kwa wakulima.” 

Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri Dkt.Semistatus .H Mashimba ameipongeza bodi ya pamba kwa jitihada walizozifanya katika kutoa elimu kwa wakulima hususani kilimo cha pamba na kuwataka vijana wengine wawe mfano hai kama James licha ya kutoa elimu tu bali na kulima kilimo chenyewe . 
Mkuu wa wilaya upande wa kulia Mhe.Simon Odunga akimkabidhi zawadi ya baskeli Ndg .Marco Mtunga aliyopewa kutoka kwa mkurugenzi wa bodi ya pamba tanzania.


Hivyo makala AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA

yaani makala yote AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/azawadiwa-baskeli-kwa-uhamasishaji-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "AZAWADIWA BASKELI KWA UHAMASISHAJI WA KILIMO CHA PAMBA WILAYANI CHEMBA"

Post a Comment

Loading...