Loading...

NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA

Loading...
NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA
link : NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA

soma pia


NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemfutia kesi ya utakatishaji fedha  aliyekuwa Kamishna Mkuu wa TRA, Harry Kitilya, na wenzake wawili kwa sababu Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP) hana nia ya kuendelea na kesi  hiyo.

Pia Mahakama hiyo imemfutia kesi mfanyabiashara aliyewahi kutajwa na Rais John Magufuli kuiibia serikali Mil.7 kwa dakika, Mohamed Yusufal na wenzake kwa sababu DPP hana nia ya kuendelea na kesi hiyo.

Kesi hizo zote zimefutwa mbele ya Hakimu Mkazi Janeth Mbando baada ya Wakili wa Serikali Mkuu, Hashim Ngole kueleza kuwa kesi hizo leo zilikuja kwa  kutajwa.

Wakili Ngole ameeleza kuwa DPP hana nia ya kuendelea na mashauri hayo kwa kutumia kifungu cha 91(1) cha sheria ya Mwenendo wa Makosa ya Jinai sura ya 20 marejeo ya mwaka 2002.

Kifuatia taarifa hiyo, Hakimu Mmbando ameziondoa kesi hizo mbili.
Hata hivyo, baada ya kutoa uamuzi huo washtakiwa wote walikamatwa na sasa wako ndani ya ukumbi wa wazi wa mahakama hiyo mbele ya Hakimu Mkazi Augustina Mmbando wakisomewa mashtaka mapya.

 Kitilya anashtakiwa pamoja na aliyekuwa miss Tanzania (1996), Shose Sinare na Ofisa wa benk ya Stanbic Sioi Solomon.

Katika kesi ya awali, washtakiwa walikabiliwa na makosa ya utakatishaji fedha, kwa kuhamisha, kuchukua na kuweka kiasi cha Dola za Marekani Milion 6 katika akaunti tofauti tofauti  za benki ambapo inadaiwa walitenda makosa hayo kati ya March 2013 na September 2015.



Hivyo makala NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA

yaani makala yote NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/newz-alert-bosi-wa-zamani-tra-na.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NEWZ ALERT: BOSI WA ZAMANI TRA NA WENZAKE ,MTUHUMIWA WA KUUIBIA SERIKALI MIL 7 KWA DAKIKA WAACHIWA HURU,WAKAMATWA TENA"

Post a Comment

Loading...