Loading...
title : KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA
link : KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA
KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Dkt. Damas Ndumbaro akiwasilisha Taarifa ya Wizara yake kuhusu Utekelezaji wa afua za UKIMWI mahali pa kazi kwa wizara na namna inavyoshirikiana na Mataifa mengine katika mapambano dhidi ya madawa ya kulevya katika Kikao cha Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Masuala ya UKIMWI, Mhe. Oscer Mukasa akiongoza kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Masula ya UKIMWI, wakiwa katika kikao kilichofanyika katika Ofisi za Bunge Jijini Dodoma. Kamati hiyo ilipokea na kujadili Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa kuhusu Utekelezaji wa afua za UKIMWI mahali pa kazi kwa wizara na namna inavyoshirikiana na Mataifa mengine katika mapambano dhidi ya madawa ya kulevya

Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA
yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/kamati-ya-bunge-ya-masuala-ya-ukimwi.html
0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MASUALA YA UKIMWI YAFANYA KIKAO JIJINI DODOMA"
Post a Comment