Loading...

NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

Loading...
NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI
link : NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

soma pia


NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

Si wengine ni ile bendi maarufu ya muziki wa dansi barani ulaya Ngoma Africa Band aka FFU-Ughaibuni ,inayoongozwa na mwanamuziki Kamanda Ras makunja wenye makao yao nchini Ujerumani,bendi hiyo iliyojizolea umarufu kila kona barani ulaya na kufanikiwa kuteka washabiki kwa kutumia muziki wao wa dansi wa bongo.

Ngoma Africa band ukipenda waite FFU ughaibuni au viumbe wa ajabu "Anunnaki Aliens" mara hii wamepakua CD yao "Awamu Ya Tano Uwanjani" yenye nyimbo mbili za "Amkeni Kumekucha"  na "Awamu ya Tano Sasa Kazi"  nyimbo hizo ni utunzi na uimbaji wake Kamanda Ras Makunja akimshirikisha Chris-B  Bakotesa ambaye pia ni  solo gitaa na kundi zima la FFU wa Ngoma Africa band wakisindikiza kwa mdundo mzima wa Hapa Kazi Kumpigia Saluti na  kumuunga mkono Rais Magufuli.


Hivyo makala NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI

yaani makala yote NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/ngoma-africa-band-na-cd-yao-mpya-awamu.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "NGOMA AFRICA BAND NA CD YAO MPYA AWAMU YA TANO HAPA KAZI"

Post a Comment

Loading...