Loading...

POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA

Loading...
POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA
link : POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA

soma pia


POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA





Jeshi la Polisi mkoani Songwe limeeleza sababu ya askari wa usalama barabarani kumshambulia dereva kwa kumpiga kuwa alitumia lugha ya matusi na kutotii amri ya kumtaka atoe ushirikiano kwa wanausalama hao ambao walikuwa wakifanya kazi kwa kushirikiana na maofisa toka Mamlaka ya Usafiri wa Majini na Nchikavu (Sumatra).


Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani hapa Yusuph Sarungi amewaambia waandishi wa habari leo Jumatatu Januari 14, 2019 kuwa tukio hilo lilitokea juzi Jumamosi Januari 12, 2019 saa 2:30 asubuhi katika eneo la Transforma, halmashauri ya mji wa Tunduma wilayani Momba wakati askari hao wakishirikiana na maofisa toka Sumatra wakiwa kwenye ukaguzi wa magari mbalimbali.

Amesema dereva huyo Mawazo Jairos (29) mkazi wa Mbeya aliyekuwa akiendesha gari aina ya Mistubishi Fuso lenye namba za usajili T842 AAC, baada ya kusimamishwa alianza kutoa lugha za kashifa na matusi kwa askari na maofisa wa Sumatra.

Kamanda huyo amesema Jairos aliliondoa gari bila ya kuruhusiwa kwa kupitia barabara ya vumbi hali iliyolazimu askari hao kumfuatilia na kumkamata tena katika eneo la Makambini ambapo walimzuia tena.

Sarungi amesema dereva huyo aliteremka kwenye gari kwa jazba huku akiendelea kutoa matusi na kumshambulia askari.


Hivyo makala POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA

yaani makala yote POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/polisi-wamchezeshea-kichapo-dereva.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "POLISI WAMCHEZESHEA KICHAPO DEREVA"

Post a Comment

Loading...