Loading...
title : RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS
link : RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS
RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS
Rais Dkt. Magufuli ameagiza kwamba ndege 2 kati ya ndege 3 za Rais, zipakwe rangi ya Air Tanzania na zianze kutumika kusafirisha abiria.
Ametoa agizo hilo leo Ijumaa Januari 11, 2019 wakati wa mapokezi ya ndege ya pili aina ya Airbus A220-300 iliyowasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar es Salaam.
“Kwa kuwa rais mwenyewe hasafiri hovyo sasa zinakaa kufanya nini na moja ina uwezo wa kubeba watu 50. Hii haitabeba abiria pale tu ambako itakuwa inatumika,” amesema Rais Magufuliu.
Akijibu ombi la Askofu mkuu wa kanisa la Full Gospel Bible fellowship (FGBF) Zachary Kakobe aliyemuomba kuwa na desturi ya kukutana na viongozi wa vyama vya siasa kama ilivyo kwa viongozi wa dini, Magufuli amesema anaogopa kukutana na watu ambao wanatukana na kutishia kumkatakata.
“Huwezi kukutana na mtu anayekuambia akikushika atakukata halafu ukutane naye kumbe ndiyo siku yako ya kuchinjwa hivyo ni bora umuache akae mwenyewe huko,” amesema Rais Magufuli
Aidha Rais Magufuli ameshwashukuru wabunge wa Chama cha Mapinduzi kwa kuwezesha maendelo hayo kupitia kuunga kwao mkono bajeti inapopelekwa bungeni.
Airbus 220-300 imekuwa ni ndege ya 6 kuwasili nchini miongoni mwa 7 zilizonunuliwa na Serikali huku nyingine moja ikisubiriwa ambapo leo Rais amethibitisha kuwa ndege nyingine ya 8 inanunuliwa.

Hivyo makala RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS
yaani makala yote RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-john-pombe-magufuli-pokea.html
0 Response to "RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI, A POKEA NDEGE MPYA YA AIRBUS, ATOA AGIZO ZITO KUHUSU NDEGE ZA RAIS"
Post a Comment