Loading...
title : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300
link : RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300
RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na viongozi mbalimbali akikata utepe kuashiria kupokea ndege ya pili ya AIRBUS A220-300 iliyowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 11, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Mhandisi Isaack Kamwelwe wakipewa maelezo na Rubani Patrick kuhusu ndege ya pili ya AIRBUS A220-300 walipoipokea katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 11, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipungia wananchi baada ya kupokea ndege ya pili ya AIRBUS A220-300 Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 11, 2019
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe Mama Mary Majaliwa wakiwa na viongozi wengine mbalimbali wakishuka kutoka katika ndege ya pili ya AIRBUS A220-300 ilipowasili na kupokelewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 11, 2019.
Maafisa waliokwenda Canada kuipokea ndege ya pili ya AIRBUS A220-300 wakilakiwa kwa shangwe Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Januari 11, 2019
Picha na IKULU
Hivyo makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300
yaani makala yote RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-dkt-magufuli-aongoza-wananchi.html
0 Response to "RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA WANANCHI KUPOKEA NDEGE YA PILI YA AIRBUS A220-300"
Post a Comment