Loading...

RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA

Loading...
RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA
link : RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA

soma pia


RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Ali Mohamed Shein, akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Skuli ya Msingi ya Chimba, Shehia ya Chimba ikiwa katika shamrashamra za Sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar,ufunguzi huo umefanyika leo 1-1-2019.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria kuizungua Skuli ya Msingi Chimba Shehia ya Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba, uzinduzi huo umefanyika leo, 1-1-2019.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akikagua moja ya Madarasa ya Mskuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba Shehia ya Chimba, akiwa na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, baada ya uzinduzi wa Skuli hiyo uliofanyika leo.1-1-2019, ikiwa ni shamrashamra za sherehe za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwasili katika viwanja vya Skuli ya Msingi Chimba Wilaya ya Micheweni Pemba akiongozana na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma, akielekea katika majengo ya Madarasa kwa ajili ya Uzinduzi wake ikiwa ni shamrashamra za Miaka 55 ya Mapinduzi ya Zanzibar.(Picha na Ikulu) .



Hivyo makala RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA

yaani makala yote RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zanzibar-afungua-skuli-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RAIS WA ZANZIBAR AFUNGUA SKULI YA MSINGI CHIMBA"

Post a Comment

Loading...