Loading...
title : Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari
link : Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari
Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari
Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amerejea nyumbani baada ya ziara yake nchini Urusi, kufuatia vurugu za maandamano zilizosababishwa na kupanda kwa bei ya mafuta.
Serikali ya Zimbabwe imekuwa ikiulaumu upinzani kutumia hali ya kupanda kwa bei ya mafuta nchini humo, kuchochea ghasia.
Aidha upinzani umesema wanachama wake wamekuwa wakichukuliwa hatua kali kama hatua ya kujibu vurugu za maandamano yanayofanywa kupinga ongezeko la mafuta.
Kiongozi wa chama cha upinzani cha Movement for Democratic ChangeNelson Chamisa amesema wengi wa wanachama wao wamekamatwa wakiwemo wabunge watano, huku afisa wake mwingine mwandamizi amejificha.
Makundi ya haki za binadamu yanasema kuwa watu 12 wameuawa katika ghasia hizo. Hata hivyo idadi hiyo bado haijathibitisha.
Jumuia ya Wafanyakazi iliyoitisha maandamano hayo imesema kiongozi wake Japhet Moyo amekamatwa pia.
Hapo jana Mahakama kuu mjini Harare ilitoa uamuzi kuwa waziri wa serikali hana haki ya kuagiza kufungwa kwa mawasiliano ya internet.Huku hali ya wasiwasi ikiongezeka, serikali Jumapili ilisema kuwa hatua za vikosi vya usalama ni 'utangulizi wa mambo yanayotarajia kushuhudiwa'.
KUSOMA ZAIDI BOFYA BBC Swahili.
Hivyo makala Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari
yaani makala yote Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/rais-wa-zimbabwe-mnangagwa-arejea.html
0 Response to "Rais wa Zimbabwe Mnangagwa arejea nyumbani: Hali bado si shwari"
Post a Comment