Loading...
title : VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA
link : VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA
VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA
Jeshi la polisi kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA kimejipanga kikamilifu katika kuhakikisha madereva wanaoendesha vyombo vya moto vyenye miguu miwili maarufu kama bodaboda wanafuata sheria,ikiwemo kuwa na leseni pamoja na kuvaa kofia ngumu pamoja na abiriwa wake. Hayo yamebainishwa na maratibu wa kikosi cha usalama barabarani mkoa wa RUVUMA SALUMU MORIMORI wakati akitoa elimu kwa baadhi ya madereva bodaboda mjini SONGEA.
Hivyo makala VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA
yaani makala yote VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/video-madereva-wasio-na-leseni-mkoa-wa.html
0 Response to "VIDEO: MADEREVA WASIO NA LESENI MKOA WA RUVUMA KUCHUKULIWA HATUA KALI ZA KISHERIA"
Post a Comment