Loading...

SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA

Loading...
SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA
link : SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA

soma pia


SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA

Na Ahmed Mahmoud,Arusha.

Shirika la bima Zanzibar limedhamini mashindano ya riadha ya Mererani Tanzanite Half Marathon ambayo yatafanyika mwishoni mwa wiki na kujumuisha idadi kubwa ya wanariadha kutoka mikoa ya Arusha,Manyara na Kilimanjaro.

Mkurugenzi wa shirika la bima Zanzibar kanda ya Kaskazini Hamis Matumla alisema hayo Jana wakati akikabidhi kiasi cha shillingi milioni mbili ambazo ni udhamini was shirika hilo ikiwa ni njia mojawapo ya kuunga mkono michezo na kuhamasisha umuhimu wa afya kwa wachezaji.
Matumla alisema kuwa kuelekea Mashindano ya Riadha ya Mbio fupi yajulikanayo kama Mererani Tanzanite Half Marathon yatakayofanyika huko Mkoani Manyara ,Wadau wa Michezo wanapaswa kujitokeza kushiriki pamoja na kudhamni Mashindano hayo yenye lengo la kutangaza madini hayo yanayopatikana Tanzania Pekee.

"Jamii inatapaswa kujenga utamaduni wa kupenda kushiriki Michezo kwani michezo ni ajira na michezo ni afya pia" Alisema Matumala

Kwa upande wao waandaaji wa Mashindano hayo wakiongozwa na Mwenyekiti wao Charles Mnyalu wanasema uandikishaji unaendelea katika Vituo mbalimbali vilivyopo hapa nchini na Washiriki na Washindi watapata Zawadi Mbalimbali.

Alisema Mbio hizo zitakazofanyika mnamo tarehe 27 mwezi huu katika Viunga vya mji wa Mererrani Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara zitashirikisha wanariadha wa kilometa tano ambao ni Watoto pamoja na Kilometa ishirini na Moja kwa Watu Wazima huku zaidi wanariadha elfu moja mia tano wakitarajia kushiriki.

Mjumbe Kamati ya Mashindano Alfredo Shahanga aliwataka Wakazi wa manyara ,Arusha na mikoa ya jirani kujitokeza kwa wingi katika mbio hizo.



Hivyo makala SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA

yaani makala yote SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/shirika-la-bima-zanzibar-ladhamini.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA BIMA ZANZIBAR LADHAMINI MASHINDANO YA RIADHA"

Post a Comment

Loading...