Loading...

TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA

Loading...
TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA
link : TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA

soma pia


TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA

Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi Modest J. Mero (kulia) na Mwakilishi wa Kudumu wa Bosnia na Herzegovina katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Ivica Dronjic wakiweka saini Makubaliano ya kuanzisha Mahusiano ya Kidiplomasia kati ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Bosnia na Herzegovina. Makubaliano hayo ambayo yatazingatia Mkataba wa Vienna wa masuala ya mahusiano ya kidiplomasia wa Mwaka 1961 uliwekwa saini New York, Marekani tarehe 25 Januari 2019. 
Afisa wa Ubalozi, Bibi Lilian Mukasa akitoa maelekezo ya namna Waheshimiwa Mabalozi watakavyosaini Makubaliano ya kuanzisha mahusiano ya kidiplomasia baina ya nchi zao. 
Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Balozi Modest J. Mero (kulia) na Mwakilishi wa Kudumu wa Bosnia na Herzegovina katika Umoja wa Mataifa, Mhe. Ivica Dronjic wakibadilishana Nyaraka ya Makubaliano baada ya wawili hao kuweka saini. 


Hivyo makala TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA

yaani makala yote TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/tanzaniabosnia-na-herzegovina-kuanzisha.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "TANZANIA,BOSNIA NA HERZEGOVINA KUANZISHA MAHUSIANO YA KIDIPLOMASIA"

Post a Comment

Loading...