Loading...
title : TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA
link : TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA
TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA
Baba mzazi wa wasanii wa bongofleva nchini Ali kiba pamoja na Abdul kiba Mzee salehe Kiba amefariki leo alfajiri katika hospital ya Taifa Muhimbili alipokua akipatiwa matibabu.
Taarifa za awali zianeleza kuwa msiba huo utakuwa karikaoo nyumbani kwa marehemu Mzee salehe kiba.
Taratibu za Mazishi bado zinaendelea kupangwa na wanafamilia ili kuupumzisha mwili wa Mzee kiba mahali pema.
Uongozi wa Michuzi Media Group unatoa pole kwa familia ya Mzee kiba na kwa wale wote walioguswa na msiba huo katika kipindi hiki kigumu.
TUTAWALEZA TAARIFA ZAIDI KUHUSIANA NA MSIBA HUU.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI-AMIN
Hivyo makala TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA
yaani makala yote TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/tanziababa-mzazi-wa-msanii-alikiba.html
0 Response to "TANZIA:BABA MZAZI WA MSANII ALIKIBA AFARIKI DUNIA"
Post a Comment