Loading...
title : SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO.
link : SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO.
SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO.
Kikosi cha Mabigwa wa ligi Kuu Tanzania Bara Simba sport klabu kimeomdoma leo kwenda nchini Congo kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabigwa barani afrika unaotarajia kupigwa Jumamosi dhidi ya AS Vita.
Taarifa kutoka klabu ya simba zinaeleza kuwa mchezo huo utaanza saa 11:00 jioni kwa saa za DRC ambapo itakuwa ni saa 1:00 usiku kwa saa za Afrika mashariki.
Klabu inatarajiwa kurejea nchini siku ya Jumapili tayari kwa ratiba nyingine ikiwemo michezo ya Ligi Kuu Soka Tanzania Bara pamoja na maandalizi ya mchezo unaofuata dhidi ya Al Ahly 1, 2, 2019 nchini Misri.
Mpaka sasa Meddie Kagere ndio mfungaji bora wa ligi ya mabingwa akiwa na mabao matano katika mechi 5 hiyo ni baada ya Moataz Al-Mehdi mwenye mabao 7 timu yake ya Al Nasr kutolewa.
Emmanuel Okwi ndiye mchezaji aliyetengeneza mabao mengi zaidi ambayo ni matano.
Simba pia ndo timu iliyofunga mabao mengi zaidi kwenye michuano hiyo msimu huu ikiwa imefunga mabao 15 katika mechi 5 ilizocheza.
Hivyo makala SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO.
yaani makala yote SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/simba-yakwea-pipa-kuivaa-as-vita-drc.html
0 Response to "SIMBA YAKWEA PIPA KUIVAA AS VITA DRC CONGO."
Post a Comment