Loading...

WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI

Loading...
WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI
link : WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI

soma pia


WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI

Na Samwel Mtuwa - Dodoma

Waziri wa madini Mh Doto Biteko leo  Januari 17/2019 amekutana na wawekezaji wa kiwanda cha Nyakato Gold Refinery (NGR) ofisini kwake jijini Dodoma , wenye nia ya kufungua kiwanda cha kusafisha madini ya dhahabu kwa kiwango cha asilimia 99.5 kwa lengo la kuongeza thamani pamoja na kuboresha soko la dhahabu nchini inayotoka kwa wachimbaji wadogo na wakati. 

Kabla ya majadiliano kuanza waziri Biteko alipokea taarifa juu ya namna ya kiwanda hicho cha NGR kitakavyofanya kazi ya ununuzi na usafishaji wa dhahabu kutoka kwa wachimbaji wadogo na wakati, ambapo baadhi ya mapendekezo yaliyowasilishwa na NGR ni juu ya matarajio ya usafishaji wa dhahabu kwa kiasi cha kg50 kwa siku na tani 1.5 kwa mwezi. 

Baada ya majadiliano hayo waziri amewataka wawekezaji hao kuandaa na kuwasilisha andiko la mpango mkakati wa wazi utakaonesha namna uendeshaji wa kiwanda hicho utakavyofanyika ikiwa pamoja na namna serikali itakavyofaidika na uwekezaji huo ndani ya sekta ya madini. 

Tanzania ni nchi ya nne barani afrika katika uzalishaji wa madini ya dhahabu ikiongozwa na nchi ya Ghana naAfrika kusini . 

Pichani waziri wa madini Mh Doto Biteko mwenye suti ya rangi ya Blue aliyekaa mbele akiwa ofisini kwake jijini Dodoma akiongea na wawekezaji wenye nia ya kufungua kiwanda cha kusafisha dhahabu kitakachojulikana kwa jina la Nyakato Gold Refinery (NGR), wengine waliyekaa upande wa kushoto mwekezaji mwenye asili ya India Vaya Rajendra, anayefuata pembeni upande wa kulia ni Baraka Ezekiel yeye ni muhamasishaji kutoka NGR, wengine waliokaa upande wa kulia katika sofa ni watendaji kutoka wizara ya madini pamoja na Tume ya Madini wakifuatilia majadiliano.


Hivyo makala WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI

yaani makala yote WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/01/waziri-biteko-akutana-na-wawekezaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI BITEKO AKUTANA NA WAWEKEZAJI WENYE NIA YA KUFUNGUA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU NCHINI"

Post a Comment

Loading...