Loading...

BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI

Loading...
BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI
link : BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI

soma pia


BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI

Na Khadija Seif, Globu ya Jamii
MWANAMUZIKI wa miondoko ya Bongofleva  Godfrey Tumaini a.k.a ‘Dudu Baya' anashikiliwa na  jeshi la polisi katika kituo cha Oysterbay jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Michuzi Blog Kamanda wa polisi Kinondoni, Mussa Taibu ameweka wazi kwa sasa Dudubaya anashikiliwa kwa mahojiano.

Hii ni kufatia agizo alilolitoa jana  Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe kwa jeshi la polisi kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa (BASATA) kuhakikisha linamchukulia hatua kali Dudu Baya.

Pia Mwakyembe aliweka wazi sababu za kumchukulia hatua mwanamuziki huyo kutokana na makosa ya kumkashifu, aliyekuwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji (Clouds Media Group) Marehemu Ruge Mutahaba.

Baada ya amri hiyo, Basata na jeshi la polisi limeweza kumfikisha Dudu Baya kituo cha polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam.

Sanjari na hilo Mwanamuziki huyo anakabiliwa na kwa makosa ya matumizi mabaya ya mtandao.


Hivyo makala BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI

yaani makala yote BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/basata-latekeleza-agizo-la-mwakyembe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BASATA LATEKELEZA AGIZO LA MWAKYEMBE, DUDUBAYA AONJA JOTO OYSTERBAY POLISI"

Post a Comment

Loading...