Loading...

BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU

Loading...
BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU
link : BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU

soma pia


BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU

Bwana harusi na mpambe wake wamefariki dunia nchini Ethiopia kwenye mlipuko wa bomu la kutupa kwa mkono.

Mamlaka nchini humo zinaarifu kuwa bomu hilo lilikuwa linamilikiwa na bwana harusi.

Mlipuko huo ulitokea kwenye karamu iliyoandaliwa na mpambe baada ya kumalizika katika sherehe za fungate ya siku 10.

Bibi harusi hakuwepo eneo la tukio wakati bomu hilo likilipuka na hivyo amepona.

Tukio hilo limetokea kwenye Kijiji cha mbali katika mkoa wa Amhara, kaskazini ya mji mkuu Addis Ababa.

Bomu hilo lilikuwa likimilikiwa kinyume cha sharia na bwana harusi huyo, polisi wameileza BBC.

Bwana harusi huyo amefahamika kama Mohammed Hassan Mohammed mwenye umri wa miaka 25. Na mpambe wake amefahamika kama Bogale Sebsibe Abera, 24.

Mamlaka nchini Ethiopia zimekuwa zikishutumiwa vikali kwa kushindwa kudhibiti wa umiliki wa silaha kinyume cha sheria. Wengi wa wamiliki hao wasio halali hufyatua risasi angani katika matukio makubwa kama misiba na harusi. Bwana harusi na mpambe wake walipuliwa na bomu.
Chanzo- BBC


Hivyo makala BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU

yaani makala yote BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/bwana-harusi-afariki-dunia-kwenye.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BWANA HARUSI AFARIKI DUNIA KWENYE MLIPUKO WA BOMU"

Post a Comment

Loading...