Loading...

DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI

Loading...
DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI
link : DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI

soma pia


DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI

Meneja wa DAWASA- Kimara jijini Dar es Salaam Paschal Fumbuka (kulia) na Msimamizi wa Bomba kubwa la MajiSafi na MajiTaka la DAWASA Mhandishi Gibson Baragula (kushoto) wakimwonyesha mwanahabari bomba lililotobolewa ili kuweza kusambazia maji wakazi wa Mbezi kwa Msuguli jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake. Picha zote na Cathbert Kajuna - Kajunason/MMG.
Meneja wa DAWASA- Kimara jijini Dar es Salaam Paschal Fumbuka (kulia) wakimwonyesha mwanahabari jinsi maji yanavyotoka katika maungio ya bomba lililotobolewa ili kumaliza mgao kwa wakazi wa Mbezi wa Msuguli jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake.

Wafanyakazi wa DAWASA wakiendelea na zoezi la uunganishaji wa mabomba.


Wakazi wa Mbezi Kwa Msuguli na vitongoji vyake jijini Dar es Salaam wanatarajia kuanza kupata maji bila ya mgao mara baada ya kukamilika uunganishwaji wa bomba jipya.

Bomba hilo jipya la Mamlaka ya MajiSafi na MajiSafi (DAWASA) litajibu kero ya mgao waliyokuwa wakipata wakazi wa Bwaloni, Msaki, Saranga, Majengo mapya mpaka Malamba Mawili, Msingwa, Kanisa la Udongo, Kisiwani na vitingoji vyake.

Akizungumza mara baada ya kumaliza zoezi la utomboaji wa Bomba, Msimamizi wa bomba kubwa la MajiSafi wa DAWASA Mhandisi Gibson Baragula amesema kwa kazi hiyo ilikuwa ni kutoa toleo la nchi 8 katika bomba kubwa la nchi 40 ambapo kazi imefanyika usiku wa kuamkia leo na zoezi hili linaenda kukamilika haraka.

"Niwaombe wakazi wa Mbezi wa Msuguli na Vitongoji vyake wavumilie tumalize ili waweze kupata ya uhakika kwa vile yatakuwa na presha ya kutosha na wataweza kupata wote kwa wakati mmoja," amesema Mhandisi Baragula.

Nae Meneja wa DAWASA- Kimara jijini Dar es Salaam Paschal Fumbuka amesema kazi kubwa imefanyika na inatarajiwa kumalizika mara baada ya masaa 48 na kuzaa matunda ili kuweza kuwapatia maji wakazi wa maeneo ya Mbezi kwa Msuguli na vitingoji vyake maji.

"Kazi kubwa ilinakaribia kukamilika na wakazi wa Mbezi kwa Msuguli wakae mkao wa kunywa maji safi na salama," amesema.

Ametoa wito kwa wakazi wote wa maeneo hayo kuendelea kuwa mabalozi wema kwa kuendelea kulipia bili zao za maji kwa wakati ili wawepe huduma bora.

"Sisi wajibu wetu tunaenda kuukamilisha hivyo basi niwaombe wale wote wanaodaiwa kulipa madeni yao na pia tutapita nyumba kwa nyumba kufanya msako wa uhakiki wa wateja, Amesema.


Maeneo ya Mbezi kwa Msuguli yamekuwa wakikosa huduma ya maji safi na salama kwa kipindi kirefu kutokana na miundombinu na jografia ya maeneo hayo


Hivyo makala DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI

yaani makala yote DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/dawasa-wajibu-mapiga-kero-ya-maji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DAWASA WAJIBU MAPIGA KERO YA MAJI"

Post a Comment

Loading...