Loading...

Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.

Loading...
Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.
link : Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.

soma pia


Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.

Leo (jana) Februari 5/2019 ni siku ambayo Chuo kikuu Cha Urafiki cha Watu wa Urusi(Peoples’ Friendship University of Russia) au maarufu kama Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.

Kama Raisi wa Umoja wa vijana wa nchi zote za Afrika chuoni hapo niliwakilisha Waafrika wote katika jopo la Kimataifa katika kusheherekea siku hii kubwa kwa kuongozana na Mkuu wa Chuo hicho Vladimir Philipov na maraisi wa Vijana wa nchi za Kiarabu, nchi za Asia na tulipozuru makao Makuu ya Shirika kubwa la Habari la Urusi la RIA NOVOST na RUSSIA TODAY na kumsikiliza Mkuu wa Chuo akifanya mahojiano na waandishi wa habari na kushiriki mkutano wa Kimataifa. 

Pia nilipata nafasi ya kukutana Naibu Waziri wa Elimu wa Gambia na Balozi wa Gambia kwa Urusi walipohudhuria Mkutano huu.Mkutano huu ulihusu vipi Chuo hiki kuendelea kuanzisha zaidi Uhusiano na vyuo vyengine duniani na kutoa kozi na mafunzo mbalimbali kwa mtandao duniani zaidi ya nchi 70 ikiwepo nchi 20 za Afrika chini ya Programu yake ya GLOBAL CLUSTER PROGRAM. 

Nchi za Afrika zaidi zilizopo kaitka programu hii ni kutokea kusini kama Zambia,Namibia,Zimbabwe, Angola, Msumbiji, Botswana, Afrika ya Kusini. Tanzania imetajwa katika kupata msaada wa mafunzo kwa usafiri wa reli chini ya shirika la TAZARA. 

Hakika tunaendelea kuliwakilisha Taifa Kimataifa zaidi.

Ahsante sana!

Mohamed Mansour.



Hivyo makala Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake.

yaani makala yote Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/chuo-kikuu-cha-patrice-lumumba.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Chuo Kikuu Cha Patrice Lumumba kimetimiza miaka 59 tangu kuasisiwa kwake."

Post a Comment

Loading...