Loading...
title : Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa
link : Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa
Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa
Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari akizungumza na washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakimsikiliza Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya marekebisho ya sheria ya ununuzi wa umma na mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi (PMIS) wakiwa kwenye picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro bwana Clifford Tandari mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
Afisa Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chunya Bi Salome Peter Lyimo akielezea matarajio yake kabla ya kupata mafunzo ya sheria za manunuzi na namna mfumo wa utoaji taarifa za manunuzi utakavyomsaidia katika utendaji wake wa kazi mara baada ya ufunguzi wa mafunzo hayo mjini Morogoro.
Hivyo makala Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa
yaani makala yote Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/maafisa-manunuzi-na-wakaguzi-wa-ndani.html
0 Response to "Maafisa Manunuzi na Wakaguzi wa ndani kutoka halmashauri 118 wapigwa msasa"
Post a Comment