Loading...
title : Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati
link : Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati
Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia akiwasili wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Kiswahili ya Mabati –Cornell ya Fasihi ya Afrika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia akihutubia wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Kiswahili ya Mabati –Cornell ya Fasihi ya Afrika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia akimkabidhi cheti cha ushindi wa tuzo ya Fasihi Bw. Jacob Ngumbau Julius wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Kiswahili ya Mabati –Cornell ya Fasihi ya Afrika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia akimkabidhi tuzo ya ushindi katika Fasihi Bi. Zainab Alwi Baharoon wakati wa hafla ya utoaji Tuzo ya Kiswahili ya Mabati –Cornell ya Fasihi ya Afrika katika ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati
yaani makala yote Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2019/02/makamu-wa-rais-akabidhi-tuzo-ya.html
0 Response to "Makamu wa rais akabidhi Tuzo ya Kiswahili ya Mabati"
Post a Comment